Naitwa Lusabara, na nataka nikupe ufafanuzi wa wazi kuhusu maswali yanayoulizwa mara kwa mara…
Hebu nikuulize swali rahisi:
Unapofikiria maisha yako miaka 10 ijayo, unaiona picha gani?
Ni kweli, unapofikisha umri wa miaka 30, maisha huanza kubadilika kimyakimya. Ghafla, mwili unaanza kutoa ishara ndogo ndogo: uchovu usioeleweka, maumivu ya viungo, na hata matatizo madogo ya kiafya ambayo ulikuwa huyaoni awali. Lakini hiyo siyo shida kubwa… shida kubwa ni hii:
Watu wengi husubiri hadi hali iwe mbaya ndipo waanze kuchukua hatua. Na mara nyingi, wakati huo unakuwa umechelewa! 😟
Na hapa ndipo watu wanakosea… wanadhani kuwa afya yao itaendelea kuwa sawa bila juhudi yoyote. Lakini ukweli ni kwamba, mwili wako sasa ni kama gari linalohitaji matunzo ya mara kwa mara ili kuepuka ajali ya ghafla njiani.
Ukichukua hatua sahihi leo:
✔️ Unaepuka gharama kubwa za matibabu zinazojitokeza baada ya kuuguwa.
✔️ Unaongeza miaka mingi yenye furaha kwenye maisha yako.
✔️ Na muhimu zaidi, unakuwa na nguvu za kufurahia maisha kikamilifu—bila kuwa “mfungwa wa dawa za hospitali.”
Mambo yanayokuhusu afya yako hayawezi kuahirishwa. Dakika unayoisubiri ni dakika inayokupotezea nafasi ya kuishi maisha mazuri zaidi. Kumbuka, huwezi kununua afya mpya katika duka lolote—kile unachofanya leo ndicho kinachoamua kesho yako.
Hii ni mifano halisi ya watu walioanza wakiwa wamechelewa:
Utunzaji wa afya yako ni rahisi kuliko unavyodhani, ukianza leo. Unaweza kuchukua hatua chache tu:
👉 Lishe Sahihi: Chakula ni dawa. Kula kwa akili, si kwa matamanio.
👉 Mtindo wa Maisha Bora: Mazoezi madogo kila siku yanaweza kufanya miujiza kwa mwili wako.
👉 Tiba Asilia na Kisasa: Usisubiri kuugua—wekeza katika kinga na kuimarisha mwili wako.
Na ndicho hasa tunachofanya kwenye Tabibu Forum. Tunaweka kila kitu kinachohusu afya ya miaka 30+ mahali pamoja:
Kama unajua umefika miaka 30 na zaidi, na ungependa kuhakikisha unaishi bila kuumwa kwa miongo mingi ijayo, basi huu ndio wakati wako wa kuchukua hatua.
Ndiyo, umesoma vema! Haikugharimu hata senti moja kujiunga na Tabibu
Pengine sio unavyofikiria…
Kwa mara nyingine, tunakushukuru kwa kuchukua muda wako kutaka kujifunza kuhusu Tabibu. Ni heshima kubwa kwetu kwamba umejiunga au unafikiria kujiunga na jukwaa hili.
Kupitia ukurasa huu, nataka nikupe ufafanuzi wa wazi kuhusu swali hili linaloulizwa mara nyingi:
“Kwa nini Tabibu ni bure?”
Nitakueleza:
Tulipoanzisha Tabibu, tuligundua kitu kimoja:
Afya ni haki ya msingi, si anasa.
Lakini, tuliona changamoto moja kubwa!
Majukwaa mengi ya afya pamoja na vituo vingi vya afya vinawatoza watu kiasi kikubwa cha fedha kwa ushauri, virutubisho, tiba au elimu muhimu ya afya. Sasa fikiria mtu mwenye changamoto za kiafya lakini anaotozwa gharama kubwa apate kusaidika.
Hapo ndipo Tabibu ilipozaliwa.
Hatukutaka tu kuanzisha jukwaa lingine la kawaida, bali tulitaka kuleta mapinduzi ya kweli katika jinsi watu wanavyopata maarifa ya afya. Tulitaka kuhakikisha kuwa kila mtu mwenye umri wa miaka 30+ anaweza kufikia taarifa na mbinu za kuboresha maisha yake ya kiafya bila vikwazo vya kifedha.
Hebu niweke wazi. Tunajua unajiuliza, “Hii inafanyikaje? Wanapataje faida?”
Ni rahisi sana:
Badala ya kutoza ada ya uanachama au kuzuia huduma muhimu nyuma ya kuta za malipo (paywalls), tumeamua:
Hatuwezi kukudanganya—virutubisho hivi ni sehemu ya jinsi tunavyopata mapato, lakini hatulazimishi mtu yeyote kununua. Tunatoa thamani kwanza, bidhaa baadaye.
Wakati tulipokuwa tukibuni Tabibu, tulijifunza jambo moja kubwa kutoka kwa majukwaa mengine ya afya:
Kwa hiyo, tuliamua kuwa tofauti.
Badala ya kulenga mapato haraka, tumewekeza katika kujenga JAMII:
Tunajua kwamba kwa muda, wanachama wetu wataona thamani ambayo tunatoa, na kwa hiari yao, watachagua kununua bidhaa zetu za ziada kama wanahitaji msaada wa ziada wa kiafya.
Lengo letu ni rahisi:
Kusaidia watu wenye umri wa miaka 30+ kuishi maisha bora, yenye afya, wakiwa na nguvu zaidi.
Hatulengi tu kuuza bidhaa au huduma. Tunataka:
Ndiyo, wewe!
Bila wewe, hakuna Tabibu.
Kila maoni yako, swali lako, na mchango wako ndani ya jukwaa letu ni muhimu. Tunajifunza kutoka kwako, tunakua kwa sababu yako, na tunajitahidi zaidi kila siku ili kuhakikisha unapata kile unachohitaji.
Kwa kila mtu unayemwalika kujiunga na Tabibu, tunaweza kufikia maelfu zaidi na kusaidia watu wengi zaidi kuboresha maisha yao.
Sababu kuu kwa nini Tabibu ni bure ni KWAKO.
Na zaidi ya yote, tunajua kwamba tunapokusaidia kufanikisha afya yako bora, jamii nzima inanufaika.
Kwa hiyo, jiunge na Tabibu leo, BURE kabisa, na uanze safari yako ya maisha yenye afya bora.
Tunakuhitaji kama sehemu ya mapinduzi haya ya kiafya.
Na kama una maswali yoyote, niko hapa kwa ajili yako. Tafadhali jisikie huru kunifikia moja kwa moja.
Tunaamini kwamba afya bora ni haki yako, na kupitia Tabibu, tunatimiza ndoto hiyo moja baada ya nyingine.
Jiunge nasi leo. Safari yako ya afya bora inaanza hapa!